FOMU YA MDAHALO MANYARA Blank Form (#7) Tafadhali jibu kauli zifuatazo kwa kutumia mizani ya alama 4 ili kuonyesha ni kwa kiasi gani unakubali au hukubaliani na maelezo yaliyoainishwa kwenye jedwali hapo chini. 1= Sikubaliani kabisa, 2 Sikubaliani, 3. Nakubali, 4. Nakubali sana1. Malengo ya mdahalo yalifikiwa 1 2 3 42. Mdahalo umekuwezesha kuelewa viziuri mpango wa ushauri 1 2 3 43. Mada zilizowowasilishwa zilieleweka 1 2 3 44. Muda uliangatiwa 1 2 3 45. Watoa mada kwenye jobo walikua na uelewa mzuri wa kile walichowasilisha 1 2 3 46.Masuala ya chakula, malipo na ukumbi yaliratibiwa vizuri6. Watoa mada kwenye jobo walikua na uelewa mzuri wa kile walichowasilisha 1 2 3 4NyumaMbele7. Mada gani ilikua muhimu na inahusiana moja kwa moja na shughuli zako?8. Eleza kwa ufupi namna ambavyo mdahalo huu uitakusaidia kwenye kuboresha shughuli zako za kilimo biashara?9. Nini kiboreshwe wakati mwingine AMDT itakapofanya mdahalo kama huu? Nyuma Submit Form