Tathmini

AMDT MENTORSHIP PROGRAM MID REVIEW 2024

Tathmini ya Mshauriwa (Mentee)

Tathmini ya Mshauriwa (Mentee)

AMDT Ilianzisha mpango wa ushauri wa (Mentorship Program) kwa wanufaika wake unaotekelezwa kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2024.
Fomu hii inalenga kutoa tathmini ya jinsi mpango hu unavyoendeshwa ili kujifunza na kuboresha mpango huu katika siku zijazo.

Tafadhali rejea kwenye malengo uliyojiwekea katika kikao cha ufunguzi wa mpango huu ili kuweza kujaza maswali yote kwa weledi.


1. Background Information on Mentee – Taarifa za awali kuhusu Mshauriwa


2. Project Launch – Jinsi Mpango wa Ushauri ulivyobuniwa na kuasisiwa


2.4 Kwa maoni yako, Unadhani ulikidhi vigezo vya kujiunga na Mpango wa Ushauri kwa kiwango gani? (asilimia ngapi)

Kutumia kitufe cha chini/nyota (slider) kutoa asilimia ya maswali yafuatayo

3. Project Implementation – Utekelezaji wa Mpango wa Ushauri kwa wanawake na vijana


4. Project Results – Faida na Hasara zilizotakana na utekelezaji wa Mpango wa Ushauri kwa wanawake na vijana


5.0 Kwa maoni yako, ni kwa asilimia ngapi mafanikio haya yametokana na sababu hizi zifuatazo?

Kutumia kitufe cha chini/nyota (slider) kutoa asilimia ya Maswali yafuatayo


6.0 Je, ni kwa kiwango gani umetekeleza malengo uliyojiwekea ndani ya kipindi cha Mpango wa Ushauri?

Tafadhali, rejea katika mpango kazi wako uliotengeneza wakati wa uzinduzi wa programu ya mentorship mwanzoni mwa mwaka kujibu maswali yafuatayo. Kumbuka kuweka kipimo cha utekelezaji kinachopimika, kwa mfano: ekari 8, miche 60, magunia 45 n.k


7. Taja changamoto ulizokutana nazo ndani ya kipindi cha Mpango wa Ushauri na jinsi ulivyozitatua

Taja changamoto ulizokutana nazo ndani ya kipindi cha Mpango wa Ushauri na jinsi ulivyozitatua